Timu ya Polisi Moro
Imeendeleza wimbi lake la ushindi leo baada ya leo kuifunga African Lyon bao 1
kwa 0 na kuondoka na point zote tatu mchezo uliochezwa leo kwenywe uwanja wa
jamuhuri mjini morogoro.Polisi Moro imepata goli dakika ya 54 goli lililofungwa
na Keneth Masumbuko kwa mpira wa adhabu nje ya eneo la hatari baada ya yassini
wa Polisi Moro Kanyiwa madhambi.
Timu ya Pilisi Moro leo
: Kenth Masumbuko,Chacha Merwa,Nicolous Kabipe, Mikil Rambo,Nahoda
Bakari,,Yassin Salum Kondo, Abdallah Mfuko Bosco John
Timu ya African Lyon leo : Yusuf Mpili,Jackson Kanywa,Ibra Isack,Abdul Seif,Brigth Ike,Fred Lewis,Hood Mayanja,mohamed samata,Buya samwaka,Obina salamsaka,Juma seif
Benchi la ufundi la polisi moro
Benchi la ufundi la African Lyon
Waamuzi wa mchezo huo leo
Kocha wa timu ya polisi moro Adolf richard akifurahia ushindi wa timu yake leo

Post a Comment