Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani
Dkt.Emmanuel Nchimbi pamoja na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema
muda mfupi baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa
Jeshi la Polisi Mjini Dodoma jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi
ulifanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kufungua
mkutano wao wa Mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma jana
Jioni,Kauli Mbiu ya mkutano Huo ni” Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi kukabiliana
na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti,”.Walioketi Mbele ni.Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi,Inspekta Jenerali wa Jeshi la
Polisi Saidi Mwema,Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna
Makinda na Naibu Spika Johna Ndugai.Picha na Freddy
Maro-IKULU
Post a Comment