Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini
kitabu cha maombolezo ya Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini Kati la
Kanisa la Kiinjili cha Kilutheri Tanzania (KKKT)jana, Alhamisi, kwenye Kanisa
Kuu la KKKT mjini Arusha kabla ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa
Askofu.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima
zake za mwisho kwa mwili wa Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini Kati
la Kanisa la Kiinjili cha Kilutheri Tanzania (KKKT)Jana, Alhamisi, kwenye Kanisa Kuu la KKKT mjini
Arusha.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akiifariji familia ya Askofu
Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini Kati nyumbani kwa Askofu mara baada ya
kuwa ametoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu kwenye Kanisa Kuu la
KKKT mjini Arusha jana, Alhamisi, Februari 14, 2013. Picha zote na Freddy
Maro-IKULU
Post a Comment