Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya wakiongozwa na Meya wa Kinondoni
Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua chache kabla ya kuzindua rasmi jina la
Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo
leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013. Barabara hiyo, yenye urefu wa kilomita 10.1
inaanzia makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Bagamoyo hadi njia panda ya
kwenda Africana karibu na uwanja wa kulenga shabaha wa JWTZ Mbezi
Beach
Vijana Jazz Band wakipamba
moto kwenye hafla hiyo
Waheshimiwa Madiwani wa
Kinondoni katika hafla hiyo
MC Ephraim Kibonde akiwa
kazini
Sehemu ya barabara
iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la
barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki
Yusuph Mwenda akienda kutoa hotuba yake
Meya wa Kinondoni Mstahiki
Yusuph Mwenda akimkaribisha Rais Mwai kibaka na Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho
Kikwete katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua
nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya
Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21,
2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki
Yusuph Mwenda aongea
Sehemu ya uzinduzi
rasmi
Meya wa Kinondoni Mstahiki
Yusuph Mwenda akimkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar Rais Mwai kibaka huku
Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia katika uzinduzi rasmi wa
jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old
Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na
iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Rais Mwai kibaki
akimshukuru Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kwa kumkabidhi zawadi ya
kasha la Zanzibar
Rais Mwai Kibaki wa Kenya
akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda
kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la
barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013
Rais Mwai Kibaki wa Kenya
akifunua pazia, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda
akizindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la
barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Vifijo kwa
wingi
Hongera Mzee Kibaki
anasema Rais Kikwete
Mstahiki Meya ampongeza
Rais Kibaki ambaye naye anamshukuru kwa heshima hiyo
Mzee ubarikiwe anasema
Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli baada ya uzinduzi huo
source matukio
michuzi
Post a Comment