Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SHIKAMANA YA ZINDUA MRADI WA UTOAJI ELIMU YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM

Mratibu wa taasisi ya Shikamana Brittany Karima Cesarini ( kulia ) akiwakabidhi vipeperushi vyenye ujumbe wa tuungane kutokomeza unyanyasaji, wanafunzi, Husna Methew wa shule ya sekondari ya Jitegemee na Moses Festo wa shule ya sekondari ya Mbezi Beach na wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutoa alimu ya kutokomeza unyanyasaji kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam, ufunguzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Theater 1 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam, wakiwa na vitabu vilivyo andikwa Hali Halisi ya Kijinsia Nchini Tanzania wakati wa uzinduzi wa utoaji wa elimu kwa shule za sekondari juu ya unyanyaaji wa kijinsia ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu ya utoaji wa mahusiano ya mazuri ya kimapenzi kwa vijana .Shikamana wamedhamilia kuleta mabadiliko juu ya utoaji wa elimu kwa jamii ili kupambana na aina zote za unyanyasaji na udhalilishaji wa kijinsia.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top