JESHI
LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
15 Februari
2013
Meli
vita tatu (3) kutoka Jeshi la Wanamaji la Urusi zijulikanazo “MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, “ALATAU” na “IRKUT” zikiongozwa na Rear Admiral Vladimir
Vdovenko, watawasili nchini tarehe 16 February 2013 na kuondoka tarehe 20
Februari 2013 katika bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kufanya ziara ya
kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi.
Waandishi wa Habari mnakaribishwa kufanya ‘coverage’
ya tukio hilo
Siku ya Jumatatu, tarehe 18 February 2013 saa 1.00
hadi saa 3.00 usiku.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano, Makao
Makuu ya Jeshi, Upanga
K U M B
U K U M B U
MMJ/JB/
Feb 13
DP
ADMN
Kufanya mahusiano na uongozi wa
Bandari
1.
Kurugenzi ya Habari imefanya zoezi la kuwaita waandishi wa Habari kutoka vyombo
vya habari vifuatavyo TBC, ITV, CLOUDS TV, MLIMANI TV, STAR TV, na CHANEL
TEN.
2.
Uongozi wa Bandari hauruhusu Waandishi wa Habari kuingia kufanya “coverage”
kwenye eneo hilo bila taarifa rasmi.
3.
Inaombwa mahusiano yafanyike na bandari kuhusiana na mapokezi ya waandishi wa
habari watakao hudhuria siku hiyo ili kukwepa usumbufu kwa waandishi hao.
(KM Mgawe)
Col
DIPR
Post a Comment