Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akipita
kukagua matanuru hayo mawili ya kuteketezaea silaha kabla ya kuyalipua kwa
moto.
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Klaus-Peter Brandes ambaye nchi yake kupitia shirika la GIZ limekuwa
likifadhili shughuli mbalimbali za Jumuia ya Afrika Mashariki akikagua matanuru
hayo.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akivuta kamba
maalum kufyatua baruti iliyowasha moto katika matanuru hayo ya silaha na
kuyateketeza.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akipokea mkono
wa shukrani kutoka kwa Katibu Mkuu wa EAC, Balozi Dk. Richard Sezibera mara
baada ya kulipua matanuru hayo. Katikati yao ni Balozi wa Ujerumani nchini,
Klaus-Peter Brandes na kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania,
Pereira Silima.
Viongozi wakiangalia moto huo
ukiteketeza
Hiki ndio kizazi hasa cha kuelimishwa juu ya matumizi
mabaya ya silaha na kujiepusha na vurugu ziletazo maafa.
Mabango maalum ya liyoandaliwa na Shirika la
Kijerumani la GIZ ya kupinga Ukatili yakiwa yameshikiliwa na wanafunzi 'SHOW
RESPECT STOP VIOLENCE' ndio ujumbe wake.
Pichani ni matanuru mawili ya silaha hizo zaidi ya 3000
yakiteketea kwa moto huo uliowashwa na Makamu wa Rais katika eneo la Jeshi la
Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam.Picha
zote na Mroki Mroki
Post a Comment