Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori. (kushoto) akibadilishana hati
na Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa
Vodacom, Kelvin Twissa wakati wa kutambulisha mfumo mpya wa kuwasilisha michango
ya uanachama wa NSSF kwa njia ya M-Pesa uliofanyika jijini Dar es Salaam
leo.
Meneja Kiongozi Mahusiano, Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (kulia) akiwa katika
mkutano huo.
Wawakilishi wa
NSSF.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori akifafanua jambo wakati
wa kutambulisha mfumo mpya wa
kuwasilisha michango ya uanachama wa NSSF kwa njia ya M-Pesa uliofanyika jijini
Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa
Chapa na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa.
Baadhi ya Wakuu wa Idara wa
NSSF.
Wadau
wakifuatilia.
Baadhi ya wadau
waliohudhulia hafla hiyo.
Mkuu wa Chapa Vodacom na
Mawasiliano, Kelvin Twissa akifafanua jambo
Mkuu wa Chapa Vodacom na
Mawasiliano, Kelvin Twissa akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu utaratibu mpya wa wanachama wa NSSF
kuchangia mafao yao kupitia kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania. Kushoto ni
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori.
Post a Comment