Zaidi ya wanafunzi 300
wa Chuo cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) Campas kuu ya Nyegezi jijini
Mwanza jana majira ya alasili waliandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
wakitaka wapatiwe nauli ya usafiri wa kwenda Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu
jijini Dae es salaam kwa ajili ya kushughulikia madai ya fedha zao kutokana na
kukabiliwa na hali ngumu ya maisha chuoni hapo.
on Wednesday, February 20, 2013
Post a Comment