Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wentworth Resource Bwana Robert Mcbean anaye tarajia kujenga kiwanda cha Mbolea mkoani Mtwara. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali mstaafu Simbakalia.Mh waziri mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi wa mkutano mkuu wa sita wa mafuta na gesi katika nchi za Afrika Mashariki ambao unafanyika kwa siku mbili mjini Arusha. (picha na Chris Mfinanga).