Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MULUGO ATOA KALI YA MWAKA.


WAZIRI MULUGO
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, naibu waziri wa elimu katika serikali JK ametoa mpya ya kufungua mwaka baada ya kuulizwa juu ya maendeleo ya mitihani ya kidato cha sita iliyoanza leo. Alipoulizwa na kituo cha EATV kupitia kipindi cha HOTMIX, waziri huyo mwenye historia ya kutofahamu vyema historia ya nchi yake alitoa jibu kuwa.....

"Sina taarifa yoyote kuhusiana na kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita, kwasasa nipo kwenye kikao cha NEC, labda waulizeni waliopo DSM ofisini. Alipoulizwa zaidi aliendelea kusema mimi sijui kuhusiana na mitihani ya kidato cha sita". Huyu ndie Naibu waziri wa elimu ndugu Mulugo.

Download Our App

1 comments:

Wajemeni mbona safari hii hamjatuletea sauti yake iliorekodiwa kwa uthibitisho. TZ kuna maajabu zaidi mbali ya Serengeti!!!!!!!!!!!!!!!Ichube

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top