Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri wa Nishati na Madini Professor Sospeter Muhongo atembelea makao makuu kampuni ya BG nchini Uingereza inayofanya kazi ya uchimbaji wa gesi na mafuta ili kuangalia ufanisi wake na namna gani inavyoweza kutufaa watanzania ikiwekeza nchini Tanzania


Makao makuu ya Kampuni ya BG.
Mh waziri Muhongo akisalimia na CEO wa BG Chris.
Mh Waziri akitembelea makao makuu ya BG Group.
Mh Waziri Profesa Muhongo akipokea maelezo kutoka kwa injinia wa BG Group.
Presentation ikiendelea.
Mh Waziri akifuatilia ramani kutoka kwa msemaji wa kampuni ya BG.
Control room ya BG Group.
Picha ya pamoja.
---
Salaam,

Urban Pulse Creative inakuletea picha ya ziara ya Mh waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo alipotembelea makao makuu kampuni ya BG inayofanya kazi ya uchimbaji wa gesi na mafuta ili kuangalia ufanisi wake na namna gani inavyoweza kutufaa watanzania ikiwekeza nchini kwetu.

Asaneni,

Urban Pulse Creative
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top