Balozi wa India
nchini, Debnath Shaw (kulia) akimkabidhi zawadi Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi wakati balozi huyo alipofanya ziara ya kikazi
wizarani hapo, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
(kushoto) akizungumza jambo na Balozi wa India nchini, Debnath Shaw. Balozi na
waziri huyo walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya ubalozi huo na
wizara.
Balozi wa India nchini, Debnath Shaw (kulia)
akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
Balozi na waziri huyo walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
ubalozi huo na wizara.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA
MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA
NDANI YA NCHI.
Post a Comment