Mh. Prof. Jumanne
Maghembe, Waziri wa Maji (kulia) akiwa na mazugumzo na Balozi wa Uholanzi nchini
Tanzania Dr. Ad Koekkoek katika mkutano ambao ulifanyika Ofisi ya Waziri, katika
ziara iliyofanywa na Balozi huyo Wizara ya Maji leo mchana.
Mh. Prof. Jumanne
Maghembe, Waziri wa Maji (katikati) akiwa na mazugumzo na Balozi wa Uholanzi
nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek (kushoto) na msaidizi wake Bi. Renet van der
Waals anayefuatia. Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge, Naibu Waziri wa Maji (wa kwanza
kulia) na Mhe. Inj. Christopher Sayi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji anayefuatia
(kushoto) katika mkutano uliofanyika katika Ofisi ya Waziri leo
mchana.
Mh. Prof. Jumanne
Maghembe, Waziri wa Maji (katikati) akiwa na mazugumzo na Balozi wa Uholanzi
nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek (kushoto) na msaidizi wake Bi. Renet van der
Waals anayefuatia (kulia). Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge, Naibu Waziri wa Maji (wa
kwanza kulia) na Mhe. Inj. Christopher Sayi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji
anayefuatia (kushoto), katika mkutano uliofanyika katika Ofisi ya Waziri leo
mchana.
Post a Comment