Katibu na Msajili wa NGOs Bw. Marcel Katemba akifafanua jambo wakati wa mkutano wa Bodi na wadau wa NGOs
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya NGOs Bibi Rukia Masasi akieleza jambo wakati wa mkutano na wadau wa NGOs Mwanza. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya NGOs Bibi Rukia Masasi akieleza jambo wakati wa mkutano na wadau wa NGOs Mwanza. 
Mjumbe wa Bodi ya Taifa ya NGOs Dr. Aisha Kigoda akiongea na wadau wa NGOs wakati wa mkutano

Mkrugenzi wa shirika la NGOs akiwaeleza wajumbe namna shirika lake linavyofanya kazi katika ziara ya wajumbe wa Bodi ya Taifa ya Uratibu Mashirika Yasiyo ya Kiserikali walipotembelea shughuli za NGOs Mkoani mwanza mara baada ya kufanya kikao.
Wajumbe wa Bodi katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chawata Mwanza.

Post a Comment