Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis
Kagasheki katikati akichangia katika harambee ya kikundi cha Habari Group ambao
ni waanishi wa Habari waliojikusanya kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na pia
kuhudumia jamii isiyojiweza kikundi hicho kinaendeshwa chini ya jumuiya ya
kukuza uchumi Ilala 'Jukuila' kikundi hicho kimezinduliwa March 8 Mlezi akiwa ni
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki wa pili kulia Udhinduzi huo
umedhaminiwa na Mfuko wa Pesheni wa PPF pamoja na Hotel ya Lamaa kushoto ni
mratibu wa hafla hiyo Bi, Rabia Bakari
Mratibu wa Kikundi ya HABARI Group Bi.Rabia Bakari
akikabidhi risara ya kikundi hicho wakati wa uzinduzi
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis
Kagasheki kushoto akiangalia baadhi ya
dokomenti
Wana kikundi cha Habari Goup wakijitambulisha mbele ya
mgeni rasmi
Wanachama wa Habari Group
wakiserebuka
Wanachama na Waandishi wa vyombo mbalimbali ambao pia
ni wanachama wa Habari Group wakiwa kwenye picha ya pamoja.Picha na
Mhamila
Rajabu
Post a Comment