Inasikitisha sana na kuhuzunisha kuona watoto wa
wakulima wanaotafuta shahada ya elimu ya juu (university) ndani ya chuo bora
kabisa Tanzania na Africa kwa ujumla.Je:
1.ni uzembe wa serikali ?
2.ni uzembe wa uongozi wa chuo kikuu cha dar es
salaam?
3.ni uzembe wa wanafunzi wenyewe wanaoshindwa
kufanya kazi za ziada wakiwa vyuo vikuu na kupata hela zinazoweza kuwafanya
wakapanga nje ya vyuo ambao wanaweza kupata malazi yenye mazingira bora zaidi ya
haya?
4.kwa mazingira kama haya wanafunzi wanapata
usingizi wa kutosha ili waweze kuweka vichwa vyao katika hali nzuri ya
kuhudhuria na kuelewa lecture za siku inayofuata?
5.watanzania wanafahamu kuwa wanachuo kikuu
wanalala katika mazingira kama haya yenye joto kali kama hili la jiji la dar es
salaam bila hata feni wakitokwa jasho mwili mzima usiku kucha?
6.viongozi wa serikali wanayafahamu mahasibu
haya?
7.wanafunzi wa chuo kikuu na uongozi wa chuo
kikuu cha UDSM wameridhika na mazingira haya ya
malazi?
Post a Comment