Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala yakutana na Ofisi ya Bunge


 



Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala leo imekutana na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo ikiwa ni utekelezaji wa shughuli za kamati.

Pichani ni Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba Sheria na Utawala Mhe. Pindi Chana akizungumza jambo katika kikao na watendaji wa Ofisi ya Bunge wakati kamati hiyo ilipokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge kufuatilia utekelezaji wa majuku ya Ofisi hiyo.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. William Ngeleja


Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati ya katiba, Sheria na Utawala wakati wa kikao na kamati hiyo iliyokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na rasilimali watu Bi. Kitolina Kippa


Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati ya katiba, Sheria na Utawala wakati wa kikao na kamati hiyo iliyokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top