Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAJINA YA WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI UCHAGUZI CCM, DMV



Tume ya Uchaguzi Tawi la CCM-DMV yapitisha majina ya wagombea uongozi kwa ngazi ya Tawi kama ifuatavyo:

NAFASI YA MWENYEKITI WA TAWI

1.George Sebo
2.Mrisho Mzese

NAFASI YA KATIBU WA TAWI

1.Yacob Kinyemi

NAFASI YA KATIBU UCHUMI NA FEDHA

1.Faraja Isingo

NAFASI YA KATIBU MWENEZI NA ITIKADI

1.Salma Moshi
2.Steven Charles Ngosha

NAFASI YA UMOJA WA WANAWAKE

1.Eliserena Kimolo
NAFASI YA JUMUIYA YA WAZAZI
1.Grace Mgaza

NAFASI YA MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA-UVCCM
1.Al Amin Hassan Othman

NAFASI YA KATIBU WA UMOJA WA VIJANA-UVCCM
1.Fadhil Londa
2.Grace Mlingi

NAFASI YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU
1.Warashi Khamisi
2.Ishmail Mwilima
3.Mselemu K. Omary


NB:WAGOMBEA WALIOPITISHWA WANARUHUSIWA KUANZA RASMI KAMPENI LEO MPAKA IJUMAA MACHI 15,2013 SAA TANO NA DAKIKA HAMSINI NA TISA USIKU(11:59PM).

Tume ya Uchaguzi inawatakia Wagombea wote kila na kheri.

WAJUMBE WA TUME YA UCHAGUZI
1.Hidaya Mahita(Mwenyekiti)
2.Zainab Buzohera
3.Anton Mkai
4.Baraka Daudi


UMOJA NI USHINDI
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top