Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi kisima cha maji kilichochimbwa katika hospitali ya mkoa wa Mwanza, Sekou Toure,kwa msaada wa Kampuni ya Bia ya Serengeti. Kisima hicho kimegharimu shilingi milioni sabini. wa pili kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndugu Paschal Mabiti na kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni ya bia ya Serengeti Jaji Mark Bomani na wamwisho kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Kampuni ya bia ya Serengeti Nandi Mwiyombela. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 7.3.2013.(PICHA NA JOHN LUKUWI)
Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa
Rais Mama Salma Kikewte akiwahutubia mamia ya wafanyakazi na wananchi wa jiji la
Mwanza baada ya kuzindua rasmi kisima cha maji katika hospitali ya Sekou Toure
tarehe 7.3.2013.
Mke wa Rais na Mwenyekiti
wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma Kikwete akifungua kitambaa na
baadaye akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi kisima cha maji
kilichochimbwa katika hospitali ya mkoa wa Mwanza, Sekou Toure,kwa msaada wa
kampuni ya bia ya serengeti. Kisima hicho kimegharimu shilingi milioni sabini.
Kushoto kwa mama ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndugu Paschal Mabiti na kulia
kwake ni Mwenyekiti wa Kampuni ya bia ya Serengeti Jaji Mark Bomani na wamwisho
ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dr. Valentino Bangi. Uzinduzi huo ulifanyika
tarehe
7.3.2013.
Post a Comment