"Ninakwenda mafunzo ya JKT kwa viongozi vijana.
Nimeahirisha safari ya Africa kusini na nitaziacha kazi za chama kwa muda huu.
NAKWENDA MAFUNZO YA JKT KWA AJILI YA NCHI YANGU. NIWAAGE KWA MUDA WAPENDWA MAANA
SIJUI KAMA MAKRUTA WANARUHUSIWA KUWA NA SIMU. Maandalizi ni kama unavyoniona.
Wenzetu walipigania UHURU wa nchi yetu, sisi tuulinde uhuru na kuijenga nchi
yetu."
on Friday, March 1, 2013
Post a Comment