Mkuu
wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali, John Minja (waliokaa wa kwanza
kulia) akiwa na wakuu wa jeshi hilo wa nchi mbalimbali barani Afrika (waliokaa)
pamoja na maofisa wao (waliosimama) baada ya kufanya mkutano wa Taasisi za
Urekebishaji Barani Afrika (ACSA). Wakuu hao wa taasisi hiyo walifanya mkutano
wao katika Hoteli ya Sun iliyopo mjini Livingstone, nchini Zambia mwishoni mwa
wiki, wakijadili masuala mbalimbali ya kuyaboresha majeshi yao. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Loading...
Home » Unlabelled » MKUU WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, CGP JOHN MINJA AKUTANA NA WAKUU MBALIMBALI WA JESHI HILO BARANI AFRIKA, NCHINI ZAMBIA.
MKUU WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, CGP JOHN MINJA AKUTANA NA WAKUU MBALIMBALI WA JESHI HILO BARANI AFRIKA, NCHINI ZAMBIA.
Mkuu
wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali, John Minja (waliokaa wa kwanza
kulia) akiwa na wakuu wa jeshi hilo wa nchi mbalimbali barani Afrika (waliokaa)
pamoja na maofisa wao (waliosimama) baada ya kufanya mkutano wa Taasisi za
Urekebishaji Barani Afrika (ACSA). Wakuu hao wa taasisi hiyo walifanya mkutano
wao katika Hoteli ya Sun iliyopo mjini Livingstone, nchini Zambia mwishoni mwa
wiki, wakijadili masuala mbalimbali ya kuyaboresha majeshi yao. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Kwa Undani9 hours ago
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo9 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-

Post a Comment