Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mmiliki wa Hoteli ya Pack Zanzibar Kikaangoni!

 



Mkurugenzi Mkuu wa Mmlaka wa Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd. Said Sarboko Makarani akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif jinsi mmiliki wa Hoteli ya Pack iliyopo Kinu cha Taa Malindi anayeendeleza ujenzi eneo la pembezoni mwa Hoteli yake licha ya kupewa barua ya kusitisha ujenzi huo na mamlaka hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiuagiza Uongozi wa Mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar pamoja na Idara ya Ardhi na Mipango Miji kumwita Mmiliki wa Hoteli ya Pack iliyopo Kinu cha Malindi anayejenga eneo la wazi mbele ya hoteli hiyo bila ya idhini ya Mamlaka hiyo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top