Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim Afungua Mkutano Wa Siku Mbili Ulioaandaliwa na Taasisi ya Utafiti Wa Masuala ya Kiuchumi na Kijamiii (ESRF)Kuhusu Mahusiano Kati ya India na Afrika.

 

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (katikati) (Mb.) akifungua mkutano wa siku mbili ulioaandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa masuala ya Kiuchumi na Kijamiii (ESRF) ya hapa nchini kuhusu mahusiano kati ya India na Afrika. Mkutano huo ambao uliwahusisha wasomi kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali duniani ulifanyika katika Hoteli ya Protea Courtyard Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Maalim (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano kuhusu ushirikiano kati ya India na Afrika.Picha Zote na Protea Courtyard Hotel-Dar es Salaam
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top