Naibu Waziri
Tamisemi(ELIMU) Ambae pia ni Mbunge wa Jimbo
la Ruangwa mkoani Lindi ,Kassim
Majaliwa Akipokea msaada wa mashuka 100 kwa Mkurugenzi wa Masoko na Elimu kwa
Umma toka Mfuko wa Taifa ya Bima ya
Afya(NHIF)Raphael Mwamoto kwa ajili ya vituo vya Afya vya
wilaya hiyoMkurugenzi wa Masoko na Elimu kwa Umma toka Mfuko wa
Taifa
ya Bima ya Afya(NHIF)Raphael Mwamoto akikabidhi mashuka 140 Diwani wa
kata ya Singino/Kivinje,Jafari Arobaini shuka ambazo zitasambazwa katika vituo
vya Afya vya wilaya hiyo
Na:
Abdulaziz,Lindi
Imeelezwa kuwa Hospital ya Wilaya ya Kilwa/Kinyonga Mkoani
Lindi
Inakabiliwa na Upungufu Mkubwa wa Shuka kwa ajili ya
Wagonjwa
wanaolazwa katika Hospital hiyo pamoja na Vituo Vitano vya
Afya
Wilayani humo Hayo yamebainishwa na Mganga mkuu wa Wilaya ya Kilwa Dr
Mike Mabimbi baada ya kukabidhiwa mashuka 140 na Mkurugenzi wa Masoko na Elimu
kwa Umma toka Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya(NHIF)Raphael Mwamoto katika hafla
fupi iliyofanyika katika hospital hiyo,
Amesema kwa sasa hospital yake yenye
vitanda 90 kila kitanda kinatumia mashuka mawili tu kwa siku ambayo hayakidhi
mahitaji kwa mgonjwa alielazwa ambae anapaswa kuwa na mashuka manne kwa siku Dr
Mabimbi amesema kupatikana kwa mashuka hayo kutasaidia baadhi kusambazwa katika
vituo vya Afya katika kata za
Tingi, Nanjirinji, Pande, Njinjo na Masoko ili
kupunguza tatizo hilo sugu
kwa Wagonjwa.
Kwa Upande
wake Mkurugenzi Mwamoto amesema msaada huo ni katika Juhudi za Mfuko wake
kuhakikisha kuwa Wagonjwa wanaolazwa hospitalini wanapatiwa huduma Muhimu za
Kijamii ikiwa ni pamoja na matibabu mazuri.
Aidha Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya umekabidhi mashuka 100 kwa ajili ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi katika
Hafla fupi zilizofanyika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ruangwa na
Hospital ya Wilaya ya Kilwa
(KINYONGA).
Naibu Waziri Tamisemi(ELIMU) Ambae pia ni Mbunge wa Jimbo
la Ruangwa mkoani Lindi ,Kassim Majaliwa Akipokea msaada wa mashuka 100 kwa Mkurugenzi wa Masoko na Elimu kwa Umma toka Mfuko wa Taifa ya Bima ya
Afya(NHIF)Raphael Mwamoto kwa ajili ya vituo vya Afya vya wilaya hiyoMkurugenzi wa Masoko na Elimu kwa Umma toka Mfuko wa Taifa
ya Bima ya Afya(NHIF)Raphael Mwamoto akikabidhi mashuka 140 Diwani wa kata ya Singino/Kivinje,Jafari Arobaini shuka ambazo zitasambazwa katika vituo vya Afya vya wilaya hiyo
Na: Abdulaziz,Lindi
Imeelezwa kuwa Hospital ya Wilaya ya Kilwa/Kinyonga Mkoani Lindi
Inakabiliwa na Upungufu Mkubwa wa Shuka kwa ajili ya Wagonjwa
wanaolazwa katika Hospital hiyo pamoja na Vituo Vitano vya Afya
Wilayani humo Hayo yamebainishwa na Mganga mkuu wa Wilaya ya Kilwa Dr Mike Mabimbi baada ya kukabidhiwa mashuka 140 na Mkurugenzi wa Masoko na Elimu kwa Umma toka Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya(NHIF)Raphael Mwamoto katika hafla fupi iliyofanyika katika hospital hiyo,
Amesema kwa sasa hospital yake yenye vitanda 90 kila kitanda kinatumia mashuka mawili tu kwa siku ambayo hayakidhi mahitaji kwa mgonjwa alielazwa ambae anapaswa kuwa na mashuka manne kwa siku Dr Mabimbi amesema kupatikana kwa mashuka hayo kutasaidia baadhi kusambazwa katika vituo vya Afya katika kata za
Tingi, Nanjirinji, Pande, Njinjo na Masoko ili kupunguza tatizo hilo sugu
kwa Wagonjwa.
Kwa Upande wake Mkurugenzi Mwamoto amesema msaada huo ni katika Juhudi za Mfuko wake kuhakikisha kuwa Wagonjwa wanaolazwa hospitalini wanapatiwa huduma Muhimu za Kijamii ikiwa ni pamoja na matibabu mazuri.
Aidha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekabidhi mashuka 100 kwa ajili ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi katika Hafla fupi zilizofanyika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ruangwa na Hospital ya Wilaya ya Kilwa (KINYONGA).
Post a Comment