Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ona Jinsi Zoezi la Uokoaji Linavyoendelea Kwa Masaa 48 Hrs Baada Ya Jengo la Ghorofa 16 Kudondoka Jijini Dar es Salaam na Kusababisha Vifo vya Watu


Picha juu zinaonyesha zoezi likiendelea usiku na mchana
Kikosi cha Huduma ya Kwanza Kipo Kwa zaidi ya masaa 48 sasa
Kazi ya uchimbaji wa kifusi ukiendelea
Sehemu ya kifusi kizito kikiwa tayari kuchimbuliwa
Kazi ya Uchimbaji wa kifusi ikiwa inaendelea kwa masaa zaidi ya 48 mpaka sasa
Zoezi la kuangalia kama kuna miili iliyofukiwa kwenye kifusi ikiendelea alfajiri ya leo
Waziri wa Mambo ya Nchi Dr Emmanuel Nchimbi akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Jumuiya ya shia nchini Jinsi Hali ya Ukoaji na uchumbaji wa Kifusi unavyoendelea
Waziri wa Mambo ya Ndani Dr Emmanuel Nchimbi akipata Maelezo ya jinsi hali ya ukoaji na uchumbaji wa kifusi zinavyoendelea kutoka kwa Kiongozi wa ukoaji kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania(JWTZ)
Baadhi ya Wananjeshi wa Jeshi la wananchi wa Tanzania(JWTZ) na Wananchi mbalimbali Wakipata kifungua kinywa baada ya kufanya kazi kwa muda wa masaa 48
Vikosi vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)na Kile cha Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)vikiendelea na Zoezi la ufukuaji wa kifusi na ukoaji
Rais Jakaya Kikwete akifuatilia zoezi la uokoaji Kwa Siku ya pili kwenye jengo la ghorofa 16 lililoanguka katika Mtaa wa Indira Gandhi jana. Kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova na Mkurugenzi wa Kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Meja Jenerali, Sylvester Rioba. Picha Zote na Fidelis Felix na Walji Ali
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top