Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PICHA ZIKIMUONESHA MCHEZAJI WA YANGA AKIFANYIWA UPASUAJI WA UVIMBE KWENYE USO WAKE


Upasuaji wa beki wa Yanga, Ladslaus Mbogo umekuwa gumzo. Beki huyo wamepasuliwa uvimbe mkubwa uliokuwa kwenye shavu lake.
Upasuaji huo ulifanyika kwenye hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, jana na kuongozwa na Daktari wa Yanga, Nassor Matuzya.
Baadaye wachezaji na viongozi walikwenda kumjulia hali Mbogo ambaye alionekana kuwa na hali nzuri na mwisho kuanza utani na wenzake. Beki huyo kajiunga na Yanga msimu huu akitokea Toto African ya Mwanza.
Mchezaji huyo anajulikana kwa jina la Mnyama na hivi karibuni aliingia katika rekodi ya kupiga daruga hadi kuchana kiatu cha mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete.
Salehjembe inakuletea picha kutoka ndani ya chumba cha upasuaji, hadi dakika chache kabla ya shughuli hiyo kuanza. Mwenyezi Mungu amsaidie Mbogo apone haraka na kurejea uwanjani aendelee na majukumu yake.
 Kabla upasuaji haujaanza...
Tayari kwa kuanza upasuaji...

SOURCE: CHAMPIONI
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top