Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Sophia Simba leo alikuwa Mgeni rasmi
katika hafla ya kukabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi waTuzo za Wanawake wenye mafanikio (TWAA) mwaka 2013 zilizofanyika katika hoteli ya Serena, jijini Dar-es-salaam.
Mwaka huu, TWAA imepokea zaidi ya washindani 530 wa Tuzo hizo kutoka katika maeneo mbalimbali nchini katika makundi anuai 12 ambayo ni:
Profesa Marjorie Mbilinyi ameibuka Mshindi wa jumla katika tuzo hizo kwa kuchukua tuzo ya jumla ya LifeTime Achievment Award Winner kutokana na mchango wake katika masuala mbalimbali ya kijamii, kama inavyoonyesha katika picha hapo juu Elika Kibona Mwanafunzi wa PHD Chuo Kikuu cha Dar es salaam UDSM akipmongeza Profesa Marjorie Mbilinyi baada ya kupokea tuzo hiyo.
Mama Shaymar Kwegir akimpongeza akimpongeza Profesa Marjorie Mbilinyi baada ya kupokea tuzo hiyo hiyo leo aliyekaa ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Anjela Kairuki.

Waziri wa Jinsia Wanawake na Watoto Sophia Simba wa pili kutoka kushoto na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Anjela Kairuki wakiwa katika hafla hiyo
Post a Comment