
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Utumishi wa MCC Bw.Steve
Kaufmann,akiongoza ujumbe wa viongozi wa MCC waliofika Ikulu Mjini
Zanzibar kwa mazungumzo na Rais jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mkuu wa Utumishi wa MCC
Bw.Steve Kaufmann,kiongoza ujumbe wa viongozi wa MCC waliofika Ikulu
Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo na Rais jana.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Post a Comment