Mkurugenzi wa Huduma za Maabara Bibi Charys Ugullum akimweleza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jinsi maabara ya ukaguzi wa dawa na vyakula inavyofanya kazi wakati Rais alipotembelea maabara ya kisasa ya TFDA iliyopo Mabibo External jijini Dar es Salaam jana mchana wakati wa siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).