Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
Kwa Undani13 hours ago
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo7 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akifunua kitambaa kufungua rasmi Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam
leo.Kushoto anayeangalia ni mbunge wa Ubungo John Mnyika.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akikata utepe kuzindua Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam.Wengine katika
picha kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Bwana
Madabida,Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Bwana Jordan Rugimbana,Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam Bwana Sadik Meck Sadik,Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuf Mwenda na
kushoto ni Mbunge wa Ubungo Mhe.John Mnyika.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na baadhi ya wananchi waishio eneo la Golani Kimara Suka muda
mfupi baada ya kuzindua Daraja la Suka Golani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na baadhi ya wananchi waishio eneo la Golani Kimara Suka muda
mfupi baada ya kuzindua Daraja la Suka Golani.
Wananchi
wa vyama mbalimbali vya Siasa wakishangilia wakati Rais Jakaya Kikwete alipokuwa
akiwahutubia muda mfupi baada ya kuzindua Daraja la Suka Golani jijini Dar es
Salaam leo mchana(picha na Freddy
Maro

Post a Comment