Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China,
Mhe. Xi Jinping walipokutana kwa mazungumzo maalum katika Hoteli ya Serena
Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Mhe. Rais Xi hapa
nchini.
Mhe. Mkapa akimtambulisha kwa Mhe. Rais Xi
Jinping, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa.
Mhe. Rais Xi Jinping akisalimiana na Balozi
Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa huku Mhe. Mkapa
akishuhudia.
Mhe. Xi Jinping akisalimiana na Balozi Celestine
Mushy, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kabla ya kuanza kwa mazungumzo kati ya Mhe.
Mkapa na Rais huyo.
Ujumbe
uliofuatana na Mhe. Mkapa alipokutana kwa mazungumzo na Mhe. Rais Xi Jinping wa
China.Picha Zote na Tagie
Daisy Mwakawago-Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Post a Comment