Rais wa China Xi Jinping,
akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, wakati akiondoka nchini jana. Katikati ni Rais Jakaya
Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete,
akiagana na Rais wa China Xi Jinping, wakati akipndoka nchini
jana.
Rais wa China, Xi Jinping
na mkewe, wakipunga mikono kuwaaga viongozi wa Tanzania na wananchi
waliojitokeza uwanjani hapo kuwaaga jana.
Rais Jakaya Kikwete, Mkewe
Mama Salma Kikwete, Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na
baadhi ya viongozi wa Serikali, wakipunga mkono kumuaga Rais wa China, Xi
Jinping, wakati ndege yake ikianza kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jana jioni kuelekea nchini Afrika ya Kusini, baada ya kumaliza
ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania






Post a Comment