
Ushangiliaji wa goli la pili ambalo lilifungwa na Ronaldo.

Mashabiki wa Real kwenye uwanja wa Old Trafford.

.

Hapa ni Ronaldo baada ya kufunga goli la pili na lake pekee kwenye hii mechi.

.

.

.

.

.

.

Hapa lilikua ni ushangiliaji wa goli la kwanza la Real lililofungwa na Modric, kwa pembeni anaonekana mchezaji Wyne Rooney wa Man U akijiandaa kuingia.

.

.
Hizi picha zinazofata ni za nje ya Uwanja kabla ya mechi.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

..
on Wednesday, March 6, 2013
Post a Comment