Hatua nyingine ya
utambyulisho wa sura mpya ya gazeti la Mwananchi inaendelea kila kona ya
Tanzania ambapo hatua inayofuata ni watendaji wakuu wa kampuni ya MCL kuingia
wenyewe mtaani na kuliuza kwa wateja wao. Hapa Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi
Communications Limited, Bw Tido Mhando, akiwa barabarani akisubiri
wateja
Kaimu Mhariri Mtendaji,
Bakari Machumu naye akijaribu kuwaelewesha wakazi wa jiji la Dar es salaam
kuhusiana na mambo mbali mbali ya gazeti la Mwananchi
..Tido Mhando kazini,
hapa akijitahidi kuuza gazeti lake!
Wakati mwingine
inafurahisha kufanya kazi isiyo yako ujue?
Haya, ..tugawane
kilichopatikana!
Bakari Machumu, Michael
Matemanga na Tido Mhando wakipiga hesabu baada ya kumaliza magazeti
yao..
source
mdimuz
Post a Comment