Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa
kampuni ya Airtel India Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam,
jana jioni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa
kampuni ya Airtel India Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam,
jana jioni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti
wa kampuni ya Airtel India Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es
salaam, jana jioni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi
Mkuu mpya wa Airtel Tanzania Bw Sunil Colaso.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa
Airtel Tanzania aliyemaliza muda wake Bw. Sam Elangallor.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa
Airtel na wa Serikali jana jioni Ikulu Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa
kampuni ya Airtel India Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam,
jana jioni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa
kampuni ya Airtel India Bw. Sunil Mittal na ujumbe wake alipokutana naye Ikulu,
Dar es salaam, jana jioni
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe
wa Airtel pamoja na Waziri wa Sanyasi, Mawasiliano na Tekenolojia, Profesa
Makame Mbarawa (kushoto).
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Mkurugeni Mkuu mpya wa Airtel Tanzania
Bw Sunil Colaso na aliyemaliza muda wake Bw Sam Elangallor (kulia).Picha zote na
IKULU
--
--
Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana jioni amekutana na
kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Bharti Airtel ya India Bw. Sunil
Mittal aliyemtembelea na ujumbe wake kuzungumzia maswala mbalimbali ya sekta ya
Mawasiliano. Bw. Mittal aliongozana na Bw. Manoj Kohli, CEO Internationa wa
kampuni hiyo, Bw. Jayant Khosla, CEO Anglophone Africa, Bw. Sam Elangallor,
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania anayemaliza muda wake, Bw Sunil Colaso,
Mkurugenzi Mkuu mpya wa Airtel Tanzania pamoja na Bi Beatrice Singano, Corporate
Affairs Director wa Airtel Tanzania.
Katika
mazungumzo hayo ujumbe wa serikali ulikuwa ni pamoja na Waziri wa
Sanyasi,
Mawasiliano
na Tekenolojia, Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti wa CHC
Profesa
Marcelina Chijoriga, Kaimu Mtendaji wa CHC Bw.
Dome Malosha, Msajili wa Hazina Mama
Mlaki na Mhandisi Clarence
Isokeleza
Post a Comment