Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA ZA MKUTANO WA CUF KWAMTIPURA


 
01 f64dd
-Mwakilishi wa Mji Mkongwe ambae pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF Ismail Jusa Ladu wakushoto akiwa na Mkurugenzi wa Habari,Uwenezi na Mawasiliano ya Umma wa CUF Salum Abdallah Bimani wakisikiliza kwa makini risala ya vijana wa jimbo la Kwamtipura katika mkutano wa hazara uliofanyika katika kiwanja cha mpira kwamtipura.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
02 1cbfb
Wananchi wa Jimbo la Kwamtipura wakisikiliza kwa makini hutuba ya Mwakilishi wa Mji Mkongwe ambae pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF Ismail Jusa Ladu hayupo pichani katika Mkutano wa hazara uliofanyika huko ktk kiwanja cha mpira kwamtipira.
03 d95ce
-Mwakilishi wa Mji Mkongwe ambae pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF Ismail Jusa Ladu akihutubia wananchi wa Jimbo la Kwamtipura katika Mkutano wa hazara uliofanyika ktk kiwanja cha mpira kwamtipira.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top