WAZIRI wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella
Mukangara
RAIS wa Shirikisho la
Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga
Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania (TFF) limewasilisha rasmi maombi ya kuonana na Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara ili kuzungumzia uamuzi wake
wa kutengua usajili wa Katiba ya 2012.
Maombi hayo
yaliwasilishwa rasmi Wizarani jana (Machi 4 mwaka huu) ambapo TFF imependekeza
kikao hicho kifanyike keshokutwa (Machi 7 mwaka huu) au Machi 13 mwaka
huu.
Kamati ya Utendaji ya TFF
iliyokutana Machi 2 mwaka huu kujadili tamko ya Waziri kutengua matumizi ya
Katiba ya 2012 ndiyo iliyopendekeza kikao hicho kwa lengo la kusikiliza upande
wa TFF katika suala hilo

Post a Comment