Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI: KIBAKA ACHOMWA MOTO AKITUHUMIWA KUIBA PAMPU YA TSH 25,000


Mwili wa kijana Paul Raphael Mtekele ukiwa umefunikwa baada ya kuteketezwa kwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kutuhumiwa kuiba pampu ya kupulizia dawa mazao ya shilingi 25,000 katika kitongoji cha Tosamaganga B wilaya ya Iringa vijijini usiku wa kuamkia leo
Viatu vya marehemu vikiwa vimenusurika moto na mwili wake kuteketea kwa moto
Mwili wa kijana huyo ukiendelea kuteketea kwa moto
Hivi ndivyo majeraha aliyoyapata kijana Kabla ya kuchomwa moto alipata mateso ya kukatwa katwa mapanga mwilini na kutaja orodha ya wezi wenzake
Baba Mzazi wa kijana Paul mzee Raphael Mtekele ( wa tatu kushoto akiwa ameshika kiono )baada ya kukuta mwili wa mwanae umechomwa moto na wananchi wenye asila kali.
Mzazi wa kijana huyo mzee Raphael Mtekele akiwa kwenye masikitiko mwili wa mwanae
Wananchi wa njia panda ya Tosamanganga wakilitazama gari la polisi ambalo lilikuwa limefika eneo la tukio leo
Baba mzazi wa kijana huyo wa pili kushoto na polisi kanzu wakitazama mwili huo
Sanduku la kubeba mwili huo likiwa limeandaliwa baada ya mzazi kuwazuia polisi kuupeleka mwili huo Hospitali ya Ipamba kwa uchunguzi zaidi

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top