|
Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi ya
Nchini Ras Al- Khaimah Bwana Kamal Ahaya akiuongoza ujumbe wa Jumuiya ya
Al-Rahma ya Umoja wa Falme za Kiarabu { UAE } wakati ulipokutana na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar
leo. |
|
Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika Picha ya pamoja na Ujumbe wa
Jumuiya ya Al-Rahma ukiongozwa na Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta
na Gesi ya Nchini Ras Al-Khaimah Bwana Kamal Ahaya.
Ujumbe huo upo
Zanzibar kukagua Vijiji vyenye mazingira magumu ili kuvipatia msaada wa
kuviwezesha kuwa na huduma muhimu na za msingi katika kuendesha maisha yao ya
kila siku.
|
on Monday, March 18, 2013
Post a Comment