Sehemu ya Wajumbe wa Muunganiko wa makampuni ya nchini
Korea wakifuatilia kwa makini mada kuhusu mfumo wa Ki-Electronic na shughuli na
huduma za Uhamiaji. Kushoto ni Ofisa uhamiaji.
Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (wa nane kutoka kushoto)
akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa muunganiko wa makampuni ya
nchini Korea mara baada ya kuwasilisha mada kuhusu mfumo wa Ki-Electronic wa
shughuli na huduma za uhamiaji katika ofisi za Uhamiaji Makao Makuu, jijini Dar
es Salaam. Miongoni ya makampuni hayo yaliotoa mada ni Consurtium na African
Future Forum.
PICHA ZOTE NA WA KITENGO CHA
MAWASILIANO YA
SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
YA NCHI
Post a Comment