Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Wafanyakazi wa African Barrick Gold watoa msaada kwa wagonjwa wa saratani


SONY DSCWafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold (ABG) wakikabidhi msaada wa vitu mbalimbali yakiwemo maboksi ya sabuni za kufulia na kuogea, mafuta ya kula, jozi za khanga na vitenge kwa wagonjwa waliolazwa kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) iliyopo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni shemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. SONY DSCWafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold (ABG) wakiongozwa na afisa wa kampuni hiyo, Blandina Munghezi (wa pili kushoto), wakikabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali yakiwemo maboksi ya sabuni za kufulia na kuogea, mafuta ya kula, jozi za khanga na vitenge kwa Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Sophia Kissuda Lesso, kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wanawake waliolazwa katika taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni shemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. SONY DSCWafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold (ABG) wakiongozwa na afisa wa kampuni hiyo, Blandina Munghezi (wa pili kushoto), wakikabidhi msaada wa kitenge kwa Mgonjwa Asha Ramadhani mkazi wa Songea mkoani Ruvuma aliyelazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo, walipotoa msaada wa vitu mbalimbali yakiwemo maboksi ya sabuni za kufulia na kuogea, mafuta ya kula, jozi za khanga na vitenge kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wanawake waliolazwa katika taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni shemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. SONY DSCWafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold (ABG) wakikabidhi msaada wa vitu mbalimbali yakiwemo maboksi ya sabuni za kufulia na kuogea, mafuta ya kula, jozi za khanga na vitenge kwa wagonjwa waliolazwa kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) iliyopo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni shemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top