Wanafunzi wa Kozi ya Ukamanda na Unadhimu kutoka Jeshi
la Ulinzi la Rwanda (RDF) walipotembelea Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na
Madini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kupata maelezo kuhusu vyanzo vya nishati
nchini na changamoto zake. Wizara ya Nishati na Madini kupitia Kamishna wa
Nishati na Masuala ya Petroli, Mhandisi Hosea Mbise, imesisitiza umuhimu wa
ushirikiano baina ya Tanzania na Rwanda katika masuala ya
nishati.
Kamishna wa
Nishati na Masuala ya Petroli, Mhandisi Hosea Mbise, akipokea zawadi kutoka kwa
Makamnda hao Wanafunzi wa Jeshi la Rwanda.
Makamanda hao Wanafunzi kutoka Jeshi la Ulinzi la
Rwanda wakisikiliza na kufuatilia kwa umakini maelezo kutoka kwa Kamishna wa
Nishani na Masuala ya Petroli.
Post a Comment