Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WATANZANIA WAWAKILISHA VIZURI KATIKA MASHINDANO YA” INFOMATRIX AFRICA”


DSC_0107
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa
akiwakabidhi vyeti na hundi ya dolla 200 moja ya washindi wa medani ya fedha
Sharon Hamis (wakwanza kushoto) na Fatma Jeddah (wapili kutoka kushoto)
kutoka shule ya wasichana ya Feza.
DSC_0152
 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa
akiwakabidhi vyeti na hundi ya dolla 300 moja ya washindi wa medali ya Silva
Eben Kinabo (wakwanza kulia) na Tabian Senga(katikati) kutoka shule ya
Sekondari ya Loyola Tanzania katika hafla ya tuzo za mashindano ya
“Infomatrix Africa” yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
DSC_0237Washiriki wa Infotrix Africa walioiwakilisha vizuri Tanzania

katika mashindano hayo yaliyomalizika wikendi hii
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top