Mratibu wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele, Dk. Upendo Mwingira, akiwasilisha mada juu ya magonjwa hayo kwa wadau wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu magonjwa yasiyopewa kipaumbele unaoendelea kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya wadau wa mkutano mkuu mwaka wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu magonjwa yasiyopewa kipaumbele unaoendelea kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam wakifualiatiliamkutano kwa makini. Picha na MAGRETH KIANBO -MAELEZO
Post a Comment