Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akimkaribisha Waziri mkuu wa Denmark Mhe.Helle Thorning-Schmidt muda
mfupi baaday kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam jioni hii
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete na mgeni wake Waziri mkuu wa Denmark Mhe.Helle Thorning-Schmidt
wakipokea heshima za nyimbo za Taifa pamoja na saluti ya mizinga 21 katika
uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam
Waziri mkuu wa Denmark
Mhe.Helle Thorning-Schmidt akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima
yake
Waziri mkuu wa Denmark
Mhe.Helle Thorning-Schmidt na mwenyeji wake wakifurahia burudani
mbalimbali
Waziri mkuu wa Denmark
Mhe.Helle Thorning-Schmidt akipkea shada l maua
Waziri mkuu wa Denmark
Mhe.Helle Thorning-Schmidt akisalimiana na kinamama waliofurika uwanjani
kumlaki. Picha na Freddy Maro
Post a Comment