Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania Dk.
Yamungu Kayandabila, (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Mawasiliano na
Miundombinu Zanzibar Rashid Seif Suleiman, alipowasili katika viwanja vya Hoteli
ya Zanzibar Ocean View kwa ajili ya Uziduzi wa Bodi ya Shirika hilo (katikati)
Posta Masata Mkuu Tanzania Deos Khamis Mndeme,
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tamzania
Dk. Yamungu Kayandabila, akitowa maelezo wakati wa Uzinduzi wa Bodi yao
uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani
Zanzibar.
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar
Rashid Seif Suleiman, akihutubia baada ya kuizinduwa Bodi Mpya ya Shirika la
Posta Tanzania katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani
Zanzibar.
Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania
wakimsikiliza Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar akiwahutubia na
kutowa nasaha zake kwa Wajumbe hao wa Bodi katika utekelezaji wa Kazi zao kwa
Ufanisi.
Posta Masta Mkuu Tanzania Deos Khamis Mndeme,
akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusuana na Shirika
lake katika utendaji wa kutowa huduma kwa Wateja wao Tanzania na Nje ya Tanzania
, jinsi shirika hilo linavyojiborsha katika huduma zake kuhakikisha kila mtu
inamfika huduma ya posta nyumbani kwake.
Waziri wa Mawasiliano na
Miundombinu Zanzibar Rashid Seif Suleiman, akiwa katika picha ya pamoja na
Wajumbe wa Bodi Mpya ya Shirika la Posta Tanzania. na Wafanyakazi wa Shirika
hilo.Picha Zote na Othman Maulid Othman-Shirika la Magazeti ya Serikali
Zanzibar
Post a Comment