Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akitoa Maelekezo kuhusu
Uchafuzi wa Mazingira kwenye kiwanda cha Mwatex kinachotiririsha Maji kwenye
Makaazi ya Wananchi Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza Kulia Mkurugenzi Rasilimali
Watu Bw Evodius Gordian.
Naibu
Wazir Ofisi ya Makamu waRais Charles Kitwanga akitoa Maelekezo kwa Mkuu wa
Wilaya ya Ilemela Bi Amina Juma wakati alipotembelea kiwanda cha Mwatex Wilayani
Ilemela ambacho kinatiririsha Maji kwenye Makazi ya Wananchi katikati
Mkurugenzi wa kiwanda Bw Amin Ladhan wapili Mkurugenzi Rasilimali Watu Bw
Evodius Gordian. (Picha na Ali Meja)
Post a Comment