Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ALIYEBAKI NA VIPANDE VYA MABOMU YA MBAGALA MWILINI, AFARIKI DUNIA, CHEKI PICHA ZA MAZISHI YAKE

Mchungaji akitoa neno la Mungu kwa waombolezaji.
Mwili wa marehemu Jenifa ukiingizwa ndani.
Umati wa waombolezaji wakilisikiliza neno kwa makini.
Muwakilishi kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa, Daniel, akitoa salamu za rambirambi.
MMOJA wa majeruhi wa milipuko wa mabomu ya Mbagala uliotokea miaka miwili iliyopita na kubaki na vipande vya mabomu mwilini, Jenifa Msigwa, amefariki dunia.
Jenifa ambaye vipande hivyo vilimsababishia mwili kupooza kuanzia kiunoni mpaka miguuni alifariki Aprili 8 mwaka huu baada ya kuzidiwa ghafla akiwa nyumbani. Marehemu amezikwa jana katika makaburi ya Mburahati baada ya mwili wake kuagwa nyumbani kwa baba yake Urafiki jijini Dar es Salaam.
 
credits:GPL
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top