| Matairi yanachomwa katikati ya barabara |
| Hii ndiyo hali halisi ya Mji mdogo wa Tunduma leo kuanzia asubuhi |
| Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani akiongea na waandishi wa habari |
| Wanafunzi wakisindikizwa na jeshi la polisi kurudi majumbani mwao |
| Polisi wakiendelea kazi yao katika mitaa ya Tunduma |
| Baadhi ya magati ya IT yaendayo nchini Zambia yakiwa yamepakiwa nnje kidogo ya mji wa Tunduma kuogopa kuharibiwa kwa magari hayo |


Post a Comment